Skip to main content



Dawa 6 zinazopunguza nguvu za kiume na hutumiwa sana

Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara.

Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume. 

Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto.

Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa kama ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii.

Dawa ya kutuliza maumivu

Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo.

Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani?

Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake.

Dawa ya kuzuia wasiwasi (anti-anxiety)

Watu wengi wanaolalamika kuhusu matatizo ya akili na kuwa na wasiwasi hutumia dawa ili kukabiliana na hofu.

Walakini, dawa kama hizo hupunguza hamu ya tendo la ndoa.

Dawa hizi zinaweza kusababisha mtu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Wakati mwingine hata husababisha wanaume kupoteza fahamu zao kabisa


Dawa ya kutibu kuganda kwa damu

Dawa zinazotumika kutibu kolesto, ambayo ni mgando wa damu, pia zina mchango mkubwa katika kupunguza nguvu za kiume.

Wataalamu wa matibabu wanasema kuwa dawa hizi huingilia utendaji wa seli za uzazi

Utafiti unaonyesha kuwa dawa zinazotumika kutibu kuganda damu wakati mwingine husababisha matatizo kwa wanaume wanapolala kitandani na wake zao.



Dawa za msongo wa mawazo (Sonona)

Dawa hizi, zinazojulikana kama "benzodiazepines," mara nyingi hutumiwa kutibu magonjwa ya wasiwasi, kama vile wakati mtu anaogopa vitu ambavyo havipo na yuko peke yake.

Magonjwa mengine ambayo hutumia dawa hizi ni pamoja na kukosa usingizi na maumivu ya misuli.

Lakini, upande wa madhara ni kwamba huathiri utendaji wa seli za uzazi wa kiume na hisia.

Dawa ya Kuzuia Shinikizo la damu

Wagonjwa wanaotumia dawa za shinikizo la damu wanaweza pia kukumbana na changamoto nyingine ambayo ni kupungua kwa nguvu zao.

Dawa hizi zinaingiliana moja kwa moja na mishipa ya damu na pia hufanya kazi na mfumo wa neva.

Wataalamu wengine wameongeza kuwa yapo hata matatizo ambayo wanawake wenyewe wanakumbana nayo na dawa hizo ambazo zinahusiana na viungo vya uzazi.


Dawa za Kifua Kikuu

Dawa za dukani kama vile dawa za kupuliza katika pua zilizoziba na dawa za kwaida za kupunguza kuziba kwa pua zina athari zake.

zinaweza kusababisha matatizo katika tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.

Ongea na daktari

Zungumza na daktari wako ikiwa unafikiri kuwa dawa ina athari mbaya kwenye utendaji wako wa tendo la ndoa. Usiache kutumia dawa yoyote bila kwanza kuzungumza na mtoa huduma wako.

Chanzo na BBC SWAHILI.COM

KWA KUPATA VIRUTUBISHO VIZURI NA SALAMA VYA KUONDOA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME WASILIANA NA DR' WAKO LEO. +255 626 908 654#



Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...

DAWA YA KUSAFISHA TUMBO, KUONDOA GESI NA KUPATA CHOO LAINI

Unasumbuliwa na Gesi Tumboni, Choo Kigumu au Tumbo Kujaa Mara kwa Mara? Suluhisho la Asili la Kusafisha Tumbo, Kupunguza Gesi na Kufanya Choo Kiwe Laini Ndani ya Siku Chache. Dawa ya asili yenye nguvu ya kupambambana na gesi, choo kigumu, na kusafisha tumbo. Nahitaji dawa ya kusafisha tumbo Dalili Zinazoonyesha Tumbo Lako Linahitaji Kusafishwa: Gesi tumboni mara kwa mara Tumbo kujaa na kuuma Kukosa choo au choo kigumu Kiungulia Harufu mbaya ya tumbo Kujisikia mzito baada ya kula  Kama una dalili hata 2 kati ya hizi, tumbo lako linahitaji kusafishwa. Dawa Asilia ya Kusafisha Tumbo Dawa ya asili iliyoandaliwa kusaidia: Kusafisha uchafu tumboni Kupunguza gesi Kulainisha choo Kuboresha mmeng’enyo wa chakula Salama kwa matumizi ya watu wazima. Faida za Matumizi: ✔ Husafisha tumbo kwa upole ✔ Hupunguza gesi na maumivu ya tumbo ✔ Husaidia kupata choo laini bila maumivu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula ✔ Hupunguza kujaa tumbo baada ya kula JINSI INAVYOFANYA KAZI Dawa hii hufanya kazi kwa kusa...