Unasumbuliwa na Gesi Tumboni, Choo Kigumu au Tumbo Kujaa Mara kwa Mara?
Nahitaji dawa ya kusafisha tumbo
Suluhisho la Asili la Kusafisha Tumbo, Kupunguza Gesi na Kufanya Choo Kiwe Laini Ndani ya Siku Chache.
Dawa ya asili yenye nguvu ya kupambambana na gesi, choo kigumu, na kusafisha tumbo.
Dalili Zinazoonyesha Tumbo Lako Linahitaji Kusafishwa:
- Gesi tumboni mara kwa mara
- Tumbo kujaa na kuuma
- Kukosa choo au choo kigumu
- Kiungulia
- Harufu mbaya ya tumbo
- Kujisikia mzito baada ya kula
Kama una dalili hata 2 kati ya hizi, tumbo lako linahitaji kusafishwa.
Dawa Asilia ya Kusafisha Tumbo
Dawa ya asili iliyoandaliwa kusaidia:
- Kusafisha uchafu tumboni
- Kupunguza gesi
- Kulainisha choo
- Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
Salama kwa matumizi ya watu wazima.
Faida za Matumizi:
✔ Husafisha tumbo kwa upole
✔ Hupunguza gesi na maumivu ya tumbo
✔ Husaidia kupata choo laini bila maumivu
✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula
✔ Hupunguza kujaa tumbo baada ya kula
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Dawa hii hufanya kazi kwa kusafisha mfumo wa mmeng’enyo na kuondoa uchafu uliokusanyika tumboni, hivyo kusaidia kupunguza gesi, maumivu ya tumbo na kufanya choo kiwe laini kwa njia ya asili.
TAZAMA MASHUHUDA WALIOTUMIA DAWA HII
1-Shahidi wa kwanza
Ni baada ya kusumbuliwa na kukosa choo kwa mda mrefu ameamua kututafuta sisi na kuanza kutuelezea tatizo lake, choo kigumu, gesi, kusafisha tumbo.
Hapa ndipo alipoamua kufanya malipo. Na kupelekewa mzigo wake nae akiwa tabora.
Hapa ni siku ya kwanza alipoanza kutumia dozi shuhudia nini amekiona mgonjwa huyu.
2- Shahidi wa pili
Huyu ni mama kutoka segerea, alikua hapati choo mara kwa mara, anapata katika mazingira magumu sana, akiwa pamoja na gesi, hivyo ndipo alipoanza kutumia dawa hii na kuona mabadiliko kiasi kutamani dawa nyengine ya kumuendeleza kua na choo laini daima ila nikamwambia hilo halihitaji dawa ni yeye mwenyewe kudumu na matunda zaidi baada kuamaliza dozi hii.
3- Shahidi wa tatu
Huyu ni Shahidi wetu wa tatu kutoka tandika dar es salaam, kama mnavyoona maelezo yake hata gesi nayo imepungua na anaendelea na dozi.
PATA SASA DOZI HII KWA GHARAMA NAFUU SANA. 15,000/= TU.
kwa kufanyiwa delivery 5,000/= popote pale.
Usisubiri tatizo likawa kubwa wahi sasa.
Wasiliana nasi 0626 908 654 /0718 958 410







Comments
Post a Comment