Skip to main content

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.


Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri.

BAWASIRI INAKUSUMBUA?

Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa?

Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema.

DALILI ZA BAWASIRI 

✔ Maumivu wakati wa kujisaidia

✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa 

✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa 

✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa 

✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu

MADHARA YA BAWASIRI 

❌ Maumivu makali ya mara kwa mara 

❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu 

❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu 

❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku 

❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla

Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa.

Baadhi ya sababu za bawasiri ni: 

✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) 

✔️ Kukaa chooni kwa muda mrefu 

✔️ Kukaa bila kufanya mazoezi kwa muda mrefu 

✔️ Kunyanyua mizigo mizito mara kwa mara 

✔️ Kutokunywa maji ya kutosha 

✔️ Lishe isiyo na nyuzinyuzi (fiber)

🚫 Mambo ya kuepuka ukiwa na bawasiri:

 ❌ Usikaze sana wakati wa kujisaidia 

❌ Usikae chooni ukitumia simu kwa muda mrefu 

❌ Epuka vyakula vinavyosababisha kufunga choo 

❌ Usikae sehemu moja kwa muda mrefu bila kusimama au kutembea 

❌ Usipuuze dalili za kutokwa na damu au maumivu makali

🌿 Tunatoa bidhaa za afya zinazolenga kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuboresha hali ya maisha.

PACKAGE YETU YA TIBA YA ASILI

Tunatoa package maalumu ya tiba ya asili iliyotengenezwa kusaidia: 

✅ Kupunguza na kutibu maumivu na uvimbe moja kwa moja.

✅ Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula 

✅ Kupunguza na kuondoa tatizo la kupata choo kigumu 

✅ Kusaidia mwili kujisafisha kwa asili 

✅ Kuboresha afya ya utumbo

GHARAMA YA PACKAGE HII NI 💰 Tsh 200,000/= tu badalaya ya 300,000/= ofa hii ni ya wiki moja tu.  Free delevery popote ulipo.

bofya hapa kuwahi ofa hii

Bei hii inajumuisha package kamili kulingana na maelekezo ya matumizi.

Namna package hii inavyofanya kazi, ukitumia ni lazima urejeshe screenshot ya ushuhuda baada ya wiki tatu kama huu hapa chini. 



BONYEZA KITUFE CHA WHATSAPP CHINI SASA

hapa utapata huduma hii

Pata maelezo zaidi kuhusu package hii, namna ya kuagiza na ushauri wa matumizi.

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp sasa hivi.

umebakiwa na siku 6 kuisha ofa hii. bofya hapa

Tumebakiwa na siku 6 tu mpaka sasa kumaliza ofa ya 200,000/=


Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...