Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2024

UGONJWA HATARI WA FIGO

Ugonjwa wa Figo sugu: Dalili, Sababu na Utambuzi Ugonjwa sugu wa figo, unaojulikana pia kama kushindwa kwa figo sugu, ugonjwa sugu wa figo, au sugu kushindwa kwa figo ni ya kawaida sana kuliko watu wengi wanavyotambua, na mara nyingi hukaa bila kuripotiwa na bila kutibiwa hadi ugonjwa umeendelea sana. Kisukari , shinikizo la damu, na magonjwa mengine yanaweza kusababisha ugonjwa wa figo. Matibabu ya mapema inaweza kuzuia ukuaji wa ugonjwa sugu wa figo. Wakati ugonjwa unaendelea, inaweza kusababisha kushindwa kwa figo, ambayo inalazimu dialysis au kupandikiza figo kubaki hai. ugonjwa wa figo huzuia utendakazi wa figo, na kuathiri uwezo wao wa kuondoa taka na viowevu vya ziada kutoka kwa mkondo wa damu. Udhibiti wa ufanisi ni muhimu ili kuepuka matatizo yanayoweza kutokea. Facebook Twitter LinkedInUgonjwa wa Figo sugu: Dalili, Sab Ugonjwa sugu wa figo, unaojulikana pia kama kushindwa kwa figo sugu, ugonjwa sugu wa figo, au sugu kushindwa kwa figo ni ya kawaida sana kuliko watu wengi w...

UKIGUNDUA DALILI HIZI ELEWA UKE WAKO UNA MAAMBUKIZI

HALI ZA KAWAIDA ZA SEHEMU ZA UKENI Je Kutokwa na Uchafu Wa Ukeni Wa Kawaida ni nini? Wanawake wote hutokwa na uchafu ukeni, ingawa kiwango hutofautiana. Wakati mwingine ni nzito, au nyepesi, au hata haionekani. Wanawake waliokomaa hupata uchafu huu kwa kiwango kidogo sana. Hutegemea ikiwa mwanamke anapata  hedhi au kama anatumia vidonge vya kuzuia mimba.  Uchafu huu huweka uke wa mwanamke kuwa na afya nzuri ingawa wakati mwingine huweza kuleta shida. Nitajua Vipi lkiwa Niko Na Maambukizi Katika Uke Wangu? Unaweza kutambua ikiwa uko na dalili hizi . • Kujikunakuna, kuchomwa au hata uvimbe kwenye uke. • Uchafu huwa unatoka kwa wingi na kisha unasababisha harufu mbaya. • Wakati wa kukojoa unahisi uchungu. • Uchungu wakati wa ngono. Iwapo utakuwa na dalili hizi basi muone muuguzi au mhudumu wa upangaji uzazi. Naweza Kufanyaje li Kuweka Uke Wangu Kuwa wa Hali Safi Na ya Afya? Kuna mambo mbalimbali unayopaswa kutekeleza. • Tumia chupi iliyotengenezwa kwa pamba au chupi ambayo haitakuchoma na...

JE UNAIJUA CHAI YA GYROPHORA?

ULISHAWAHI KUNYWA CHAI HII YA UYOGA MWEKUNDU. >>GYROPHORA TEA Bidhaa hii ina mchanganyiko wa mimea ya asili kama uyoga mwekundu maarufu kama Ganoderma lucidium,  Cordyceps na Ginseng.  Mimea hii kwa pamoja  imetumika kuandaa majani haya ya chai na kuyafanya kuwa ni majani bora na mazuri zaidi. Majani haya yana  uwezo wa kuongeza nguvu, kuongeza kinga na kupunguza uchovu wa mwili. Ina uwezo wa kurekebisha mfumo wa kinga mwilini. Ni nzuri kwa wenye matatizo sugu ya moyo, mapafu, ini, bandamna na figo. Pia inasaidia kusafisha na kuviweka viungo hivyo katika hali ya usawa.  Inafaa kutumiwa na watu wasio na kinga ya kutosha na walio na mili dhaifu sababu ya matumizi ya madawa kwa kipindi kirefu na wanaosumbuliwa na maradhi sugu kama kansa na uvimbe.  Majani haya pia yana uwezo mkubwa wa kuiongezea damu nguvu ya kusafirisha hewa ya oksijen. >>Watumiaji Chai hii inaweza kutumiwa na wale wote wanaotumia tiba za vidonge kutibu maradhi sugu kama ya uvimbe...

LISHE YA FOLIC ACID SOFT CAPSULE

FOLIC ACID Folic acid Lishe ya Folic Acid inatokana na mimea ya asili Alfafa na Green Algae. Kwa pamoja a lishe hii inaundwa na madini kama Folic Acid, , Iron na Calcium na inayeyuka haraka mwilini. Madini ya chuma Iron' husaidia katika kuzalisha kinga mwilini na kuimarisha afya na pia inatumika katika uzalishaji kemikali ya 'Haemoglobin' katika damu. Husaidia ini kuweza kufanya kazi vizuri na kuweza kuhifadhi vitamin B mwilini. Madini ya Calcium husaidia kuimarisha mifupa na meno. Kuzuia mishipa ya damu kukaza. Madini ya Calcium yanasaidia kurekebisha msukumno wa damu na mapigo ya moyo mwilini. Folic Acid ina virutubisho vyenye asili ya Vitamin B husaidia kulinda mwili kutokana na homa 'Anaemia' na kulinda viasili vya DNA visiharibiwe na kemikali. Pia husaidia kuzuia magonjwa katika mishipa ya damu inayopeleka damu katika moyo na kichwa. Ni nzuri kwa kina mama wenye homa, wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotarajia kupata ujauzito. Na inashauriwa makundi haya y...

SIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA

  SIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA Soma kwa umakini huenda ukapata kunufaika wewe na wengine. *1 - Mazoezi ni dawa. *2 - Kufunga ni dawa. *3 - Chakula cha asili ni dawa. *4 - Kicheko ni dawa. *5 - Mboga na matunda ni dawa. *6 - Usingizi ni dawa. *7 - Mwanga wa jua ni dawa. *8 - Kuwapenda wengine ni dawa *9 - Kujipenda ni dawa. *10 - Shukrani ni dawa. *11 - Kuacha kosa ni dawa. *12 - Kutafakari ni dawa. *13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa. *14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa. *15 - Fikra sahihi ni dawa. *16 - Kumtegemea Mungu ni dawa *17 - Marafiki wazuri ni dawa. *18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa. *19 - Kunywa maji mengi ni dawa. *20 Moyo wenye amani ni dawa.  *21 Kuwa mwanachama wa ETERNAL  nako ni dawa.  *_LEO TUISHIE HAPO_* Wasiliana nasi Phone+ 255 626 908 654            +255 718 958 8410 Email:suleimans003@gmail.com