Skip to main content

JE UNAIJUA CHAI YA GYROPHORA?

ULISHAWAHI KUNYWA CHAI HII YA UYOGA MWEKUNDU.

>>GYROPHORA TEA
Bidhaa hii ina mchanganyiko wa mimea ya asili kama uyoga mwekundu maarufu kama Ganoderma lucidium, Cordyceps na Ginseng. 
Mimea hii kwa pamoja imetumika kuandaa majani haya ya chai na kuyafanya
kuwa ni majani bora na mazuri zaidi. Majani haya yana uwezo wa kuongeza nguvu, kuongeza kinga na kupunguza uchovu wa mwili. Ina uwezo wa kurekebisha mfumo wa kinga mwilini. Ni nzuri kwa wenye matatizo sugu ya moyo, mapafu, ini, bandamna na figo. Pia inasaidia kusafisha na kuviweka viungo hivyo katika hali ya usawa. 
Inafaa kutumiwa na watu wasio na kinga ya kutosha na walio na mili dhaifu sababu ya matumizi ya madawa kwa kipindi kirefu na wanaosumbuliwa na maradhi sugu kama kansa na uvimbe. 
Majani haya pia yana uwezo mkubwa wa kuiongezea damu nguvu ya kusafirisha hewa ya oksijen.


>>Watumiaji
Chai hii inaweza kutumiwa na wale wote
wanaotumia tiba za vidonge kutibu maradhi sugu kama ya uvimbe, kansa n.k.

Ni nzuri ikitumiwa na wenye matatizo ya
kinga kushuka sana na mwli kukosa nguvu mara kwa mara.

Ni majani ya chai mazuri sana yakitumiwa na watu wa rika lote kwa ajili ya kuimarisha kinga na kuongeza nguvu ya mwili.

.......................................
Wasiliana nasi;
    +255 626 908 654
    +255 718 958 410
Dar es salam Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...