SIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA
Soma kwa umakini huenda ukapata kunufaika wewe na wengine.
*1 - Mazoezi ni dawa.
*2 - Kufunga ni dawa.
*3 - Chakula cha asili ni dawa.
*4 - Kicheko ni dawa.
*5 - Mboga na matunda ni dawa.
*6 - Usingizi ni dawa.
*7 - Mwanga wa jua ni dawa.
*8 - Kuwapenda wengine ni dawa
*9 - Kujipenda ni dawa.
*10 - Shukrani ni dawa.
*11 - Kuacha kosa ni dawa.
*12 - Kutafakari ni dawa.
*13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa.
*14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa.
*15 - Fikra sahihi ni dawa.
*16 - Kumtegemea Mungu ni dawa
*17 - Marafiki wazuri ni dawa.
*18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa.
*19 - Kunywa maji mengi ni dawa.
*20 Moyo wenye amani ni dawa.
*21 Kuwa mwanachama wa ETERNAL nako ni dawa.
*_LEO TUISHIE HAPO_*
Wasiliana nasi
Phone+255 626 908 654
+255 718 958 8410
Email:suleimans003@gmail.com

Comments
Post a Comment