Skip to main content

UKIGUNDUA DALILI HIZI ELEWA UKE WAKO UNA MAAMBUKIZI


HALI ZA KAWAIDA ZA SEHEMU ZA UKENI

Je Kutokwa na Uchafu Wa Ukeni Wa Kawaida ni nini?

Wanawake wote hutokwa na uchafu ukeni, ingawa kiwango hutofautiana. Wakati mwingine ni nzito, au nyepesi, au hata
haionekani. Wanawake waliokomaa hupata uchafu huu kwa kiwango kidogo sana. Hutegemea ikiwa mwanamke anapata hedhi au kama anatumia vidonge vya kuzuia mimba. 
Uchafu huu huweka uke wa mwanamke kuwa na afya nzuri ingawa wakati mwingine huweza kuleta shida.

Nitajua Vipi lkiwa Niko Na Maambukizi Katika Uke Wangu?

Unaweza kutambua ikiwa uko na dalili hizi.
• Kujikunakuna, kuchomwa au hata uvimbe kwenye uke.
• Uchafu huwa unatoka kwa wingi na kisha unasababisha harufu mbaya.
• Wakati wa kukojoa unahisi uchungu.
• Uchungu wakati wa ngono.

Iwapo utakuwa na dalili hizi basi muone muuguzi au mhudumu wa upangaji uzazi.

Naweza Kufanyaje li Kuweka Uke Wangu Kuwa wa Hali Safi Na ya Afya?
Kuna mambo mbalimbali unayopaswa kutekeleza.

• Tumia chupi iliyotengenezwa kwa pamba au chupi ambayo haitakuchoma na kubadilisha chupi kila siku.
• Pia usivae soksi au suruali ndefu ya kubana kwa mda mrefu.
• Osha chupi kwa maji moto na sabuni kisha ukamue chupi hizo kwa maji masafi kabla ya kuanikwa.
• Badilisha nguo zenye unyevunyevu baada ya kuogelea au nguo za michezo baada ya mchezo bila kukawia.
• Tumia visodo badala ya taulo. Badilisha taulo mara kwa mara. na usitumie zile za marashi.
• Usivalie nguo za kukubana kwa sababu zinafanya mwili kuwa na unyevu na kisha husababisha vidudu kusambaa kwa haraka.
• Epuka kuosha uke kwa kutumia sabuni zenye manukato au mbinu yoyote ile kwa sababu huongeza kujikuna. Uke wenye afya hauhitaji marashi au manukato.
• Jiepushe na matumizi ya sabuni, chumvi za kuoga na manukato katika maeneo haya.
• Tumia sabuni ya kawaida na maji katika maeneo haya.
• Panguza kutoka mbele hadi nyuma baada ya kujisaidia kuepusha uchafu kugusa maeneo haya.
• Usitumie shashi zenye manukato.

Wakati mwingine dalili hizi zaweza sababishwa na mambo mengine makubwa, kwa hivyo hakikisha umemwona dakitari.

Kwa kuongea na dokta wetu bofya Link ya whatsapp hapa chini

Message Afya bora on WhatsApp. https://wa.me/255774039825

Kwa maelezo zaidi:
      +255 626 908 654
      +255 718 958 410

Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...