Skip to main content

LISHE YA FOLIC ACID SOFT CAPSULE

FOLIC ACID

Folic acid

Lishe ya Folic Acid inatokana na mimea ya asili Alfafa na Green Algae. Kwa pamoja a lishe hii inaundwa na madini kama Folic Acid, , Iron na Calcium na inayeyuka haraka mwilini.

Madini ya chuma Iron' husaidia katika kuzalisha kinga mwilini na kuimarisha afya na pia inatumika katika uzalishaji kemikali ya 'Haemoglobin' katika damu.
Husaidia ini kuweza kufanya kazi vizuri na kuweza kuhifadhi vitamin B mwilini.

Madini ya Calcium husaidia kuimarisha mifupa na meno. Kuzuia mishipa ya damu kukaza. Madini ya Calcium yanasaidia kurekebisha msukumno wa damu na mapigo ya moyo mwilini.

Folic Acid ina virutubisho vyenye asili ya Vitamin B husaidia kulinda mwili kutokana na homa 'Anaemia' na kulinda viasili vya DNA visiharibiwe na kemikali. Pia husaidia kuzuia magonjwa katika mishipa ya damu inayopeleka damu katika moyo na kichwa. Ni nzuri kwa kina mama wenye homa, wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotarajia kupata ujauzito. Na inashauriwa makundi haya yanatakiwa
kutumia wastani wa miligram 400 za Folic Acid kila siku kwa makuzi salama ya mtoto na kuzuida mimba kuharibika mara kwa mara.
Njia rahisi ya kufikia lengo hili ni kumeza
vidonge aina ya Multi Vitamin B Complex na vidonge vya Folic Acid. Pia inafaa kutumiwa na watu wenye matatizo ya kuumwa na kichwa muda mrefu, kizunguzungu, uchovu usiokwisha, ni nzuri kwa wanafunzi wenye uwezo mdogo
darasani.
Tafiti zinaonyesha kwamba Folic Acid inapunguza uwezekano wa kupata kansa, maradhi ya moyo 'stroke' na matatizo ya mfumo wa fahamu ya kiwemo kupoteza kumbukumbu.

>>Watumiaji:
1) Nzuri kutumiwa na wasiotumia mboga za majani mara kwa mara.

2) Inawasaidia zaidi akina mama wajawazito, wanaonyonyesha na wanaotegemea kupata ujauzito.

3) Wanaosumbuliwa na homa mara kwa mara na maradhi ya viganja na miguu kushikwa na ganzi na baridi kali.

4) Ni nzuri kwa wale wanaochoka choka haraka na mwili kukosa nguvu.

5) Wanaosumbuliwa na maumivu ya kichwa, kizunguzungu na kupoteza kumbukumbu kwa kiasi kikubwa na uwezo mdogo (hasa wanafunzi) kiakili.

>Matumizi
Meza mara mbili kwa siku, vidonge viwili kila mara.
Meza kwa kutumia maji ya vuguvugu, mara baada ya kula.

>Angalizo
Bidhaa hii si mbadala wa dawa.
Watumiaji wanashauriwa wasizidishe kiwango cha kawaida cha matumizi yaliyopendekezwa.
Pia iwekwe mahali pakavu, pasipo na joto kali na pasipofikiwa na watoto kwa urahisi.
.................................................
Kwa mawasiliano zaidi
 Call : +255 626 908 654
          +255 718 958 410
          Dar es salam- Tanzania


Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...