Skip to main content

Posts

Sulomy Herbal Center SULOMY HERBAL CENTER Herbal Solutions kwa Afya ya Mwili & Ustawi wa Mwanamke Agiza WhatsApp Bidhaa Zetu ZanSulomy Premium Sea Moss Sea moss ya asili kutoka Zanzibar kwa afya ya mwili na detox. 💰 30,000/= kwa kilo 1 Agiza Sasa ZanSulomy Sea Moss Wellness Capsules (60) Vidonge vya asili kwa usawa wa mwili na detox. 💰 25,000/= Agiza Sasa Sulomy Herbal Pelvic Balance Powder Husaidia afya ya uzazi wa mwanamke na usawa wa homoni. 💰 40,000/= Agiza Sasa Eternal Herbal Toothpaste Huduma ya afya ya kinywa na kuondoa harufu mbaya. 💰 25,000/= Agiza Sasa Mawasiliano 📍 Kitunda, Dar es Salaam 📞 0626 908 654 📱 WhatsApp: 0759 438 870 Wasiliana Sasa
Recent posts

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

PATA SASA UZAZI KWA NJIA SALAMA

Sababu Zinazoweza Kusababisha Kukosa Kizazi na Njia za Kutafuta Suluhisho Kukosa kupata ujauzito kwa muda mrefu ni changamoto inayowakumba wanawake na wanaume wengi. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mbalimbali yanayohusiana na afya ya mfumo wa uzazi. Kama unataka vipimo bonyeza hapa Baadhi ya Sababu za Kukosa Kizazi 1. Matatizo ya Homoni Kutokuwepo kwa uwiano mzuri wa homoni kunaweza kuathiri utoaji wa mayai kwa mwanamke na uzalishaji wa mbegu za uzazi kwa mwanaume. 2. Kuziba kwa Mirija ya Uzazi Mirija ya uzazi ikiziba inaweza kuzuia yai na mbegu kukutana, hivyo kufanya ujauzito usitokee. 3. Maambukizi ya Mfumo wa Uzazi Baadhi ya maambukizi yanaweza kusababisha madhara katika mfumo wa uzazi ikiwa hayatatibiwa mapema. 4. Ubora Hafifu wa Mbegu za Uzazi Kwa wanaume, idadi ndogo au ubora hafifu wa mbegu za uzazi unaweza kuwa sababu ya changamoto ya kupata mtoto. 5. Umri Kadri umri unavyoongezeka, hasa kwa wanawake, uwezo wa kupata ujauzito unaweza kupungua. 6. Mtindo wa Maisha M...

JEE UNAIELEWA SIRI YA VIDONGE VYA MWANI

Vidonge vya Mwani – Siri ya Afya Bora kwa Mwili Wako   Katika maisha ya sasa watu wengi wanapambana na changamoto mbalimbali za afya kutokana na lishe duni, uchovu wa mwili, msongo wa mawazo na upungufu wa virutubisho muhimu.  Moja ya njia asilia inayozidi kupata umaarufu ni matumizi ya vidonge vya mwani. Mwani ni mmea wa asili wa majini wenye virutubisho vingi muhimu kwa mwili na huota maeneo ya bahari au chini ya bahari hivyo huufanya uwe tajiri wa madini na vitamini vingi sana .  Vidonge vya mwani hutengenezwa kwa njia maalumu ili kusaidia mwili kupata madini na vitamini muhimu kwa afya. Faida za Vidonge vya Mwani Kiafya   1. Huongeza Kinga ya Mwili; Mwani una madini na antioxidants zinazosaidia mwili kujilinda dhidi ya maradhi mbalimbali. 2. Husaidia Mfumo wa Mmeng’enyo wa Chakula; Vidonge vya mwani vina nyuzinyuzi zinazosaidia kusafisha tumbo, kupunguza choo kigumu na kuboresha mmeng’enyo wa chakula. 3. Husaidia Kupunguza Uchovu; Kwa watu wanaojisikia kuchoka mara kwa mara, mwani ...

SULUHISHO LAKO NI SULOMY HEALTHCARE

Bofya hapa kuongea na daktari wako KAMA UNA CHANGAMOTO ZA AFYA… Usikae kimya ukiumia wakati suluhisho lipo 🌿 Karibu SULOMY HEALTH CARE kwa ushauri na bidhaa za afya zinazolenga kusaidia mwili wako kurejea kwenye hali nzuri. Tunajali afya yako kwa karibu zaidi 💚 ✔️ Ushauri ✔️ Huduma bora ✔️ Bidhaa za asili ✔️ Huduma kwa upendo na uaminifu Afya njema ni furaha ya maisha ✨ Tuma ujumbe sasa #SulomyHealthCare #SulomyHerboCenter #AfyaKwanza #HerbalCare #TanzaniaHealth #NaturalHealth #AfyaYaMwili #HudumaYaAfya #HerbalMedicine #Wellness #HealthCare #DarEsSalaam #AfyaBora #SuluhishoLaAfya #HealthyLife

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...