Dawa 6 zinazopunguza nguvu za kiume na hutumiwa sana Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara. Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume. Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto. Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa kama ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii. Dawa ya kutuliza maumivu Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo. Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani? Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake. Dawa ya kuzuia wasiwasi (an...
PATA SULUHISHO LA KUDUMU LA MATATIZO YAKO KWA KUTUMIA NUTRITION SUPPLEMENTS KUTOKA CHINA NA TIBA ASILIA ZA NDANI YA NCHI YETU