Skip to main content

DHARURA YA HOMA YA NYANI YATANGAZWA.




#HABARI: Shirika la Afya Duniani (WHO), limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox (Homa ya Nyani) katika baadhi ya nchi za Afrika, kuwa dharura ya afya ya umma ambayo inaleta hofu kimataifa.

Ugonjwa huo unaoambukiza kwa haraka umeshaua takribani watu 450 tangu ulipuke katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo ugonjwa huo unaelezwa kuenea katika maeneo ya Afrika ya kati na mashariki, huku wanasayansi wakiwa na wasiwasi kuhusu jinsi aina mpya ya ugonjwa huo inavyoenea na kiwango chake cha juu cha vifo.

Whatsapp
https://chat.whatsapp.com/Kdbqqe1TWCn10djL2rnQBC


Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...