Skip to main content

AFARIKI DUNIA AKISHIRIKI TENDO LA NDOA AKIWA AMEKULA VIAGRA NA KUPAKA VUMBI LA KONGO



KIJANA AFARIKI AKIWA ANASHIRIKI TENDO LA NDOA
_________________________



BURUNDI 🇧🇮

Umuonae pichani Anaitwa Ikoriciza Eric kijana mwenye umri wa miaka 23 amefariki dunia huku akiwa akijamiana ( ku sex) na binti mwenye umri wa miaka 17 (Kitoto cha2OOO)aitwae Kezimana Grace.

🗣️ Inasemakana kua kifo chake kilisababishwa na vidonge ambavyo alitumia kwa lengo la kuongeza nguvu za kiume maarufu Burundi vinavyoitwa (Viagra💊)aka paka na Vumbi la Congo ..yani kala kidonge afu kapaka na Vumbi la Congo at the same time.

📺Alisema Bint..

« Sijui chochote Mimi tulivyokua tunashiriki tendo nilimwona mwenzangu analala Fofofo» Grâce Kezimana Amesema ``

🙍‍♀️⛓‍💥Kezimana Grace kwa sasa amewekwa ndani kwa uchunguzi zaidi kuhusu kifo cha mpenzi wake Eric .

-Serikali imekataza vijana kutumia vitu vya ziada kuongeza nguvu za kiume laa hasha wale vzr wafanye mazoezi kuepuka madhara km aya.

__________________________________________________

Kwa kupata tiba sahihi sahihi kupitia virutubisho asilia  kwa kutibu nguvu za kiume , ume kulegea, mbegu dhaifu, nk.
Piga simu 0626908654
Dar es salam

Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...