Skip to main content

DAWA YA KUSAFISHA TUMBO, KUONDOA GESI NA KUPATA CHOO LAINI

Unasumbuliwa na Gesi Tumboni, Choo Kigumu au Tumbo Kujaa Mara kwa Mara?

Suluhisho la Asili la Kusafisha Tumbo, Kupunguza Gesi na Kufanya Choo Kiwe Laini Ndani ya Siku Chache.


Dawa ya asili yenye nguvu ya kupambambana na gesi, choo kigumu, na kusafisha tumbo.

Nahitaji dawa ya kusafisha tumbo

Dalili Zinazoonyesha Tumbo Lako Linahitaji Kusafishwa:
  • Gesi tumboni mara kwa mara
  • Tumbo kujaa na kuuma
  • Kukosa choo au choo kigumu
  • Kiungulia
  • Harufu mbaya ya tumbo
  • Kujisikia mzito baada ya kula
 Kama una dalili hata 2 kati ya hizi, tumbo lako linahitaji kusafishwa.

Dawa Asilia ya Kusafisha Tumbo

Dawa ya asili iliyoandaliwa kusaidia:
  1. Kusafisha uchafu tumboni
  2. Kupunguza gesi
  3. Kulainisha choo
  4. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
Salama kwa matumizi ya watu wazima.

Faida za Matumizi:
✔ Husafisha tumbo kwa upole
✔ Hupunguza gesi na maumivu ya tumbo
✔ Husaidia kupata choo laini bila maumivu
✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula
✔ Hupunguza kujaa tumbo baada ya kula

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Dawa hii hufanya kazi kwa kusafisha mfumo wa mmeng’enyo na kuondoa uchafu uliokusanyika tumboni, hivyo kusaidia kupunguza gesi, maumivu ya tumbo na kufanya choo kiwe laini kwa njia ya asili.

TAZAMA MASHUHUDA WALIOTUMIA DAWA HII

Ni baada ya kusumbuliwa na kukosa choo kwa mda mrefu ameamua kututafuta sisi na kuanza kutuelezea tatizo lake, choo kigumu, gesi, kusafisha tumbo. 

1-Shahidi wa kwanza

Hapa ndipo alipoamua kufanya malipo. Na kupelekewa mzigo wake nae akiwa tabora. 


Hapa ni siku ya kwanza alipoanza kutumia dozi shuhudia nini amekiona mgonjwa huyu. 


2- Shahidi wa pili

Huyu ni mama kutoka segerea,  alikua hapati choo mara kwa mara, anapata katika mazingira magumu sana, akiwa pamoja na gesi, hivyo ndipo alipoanza kutumia dawa hii na kuona mabadiliko kiasi kutamani dawa nyengine ya kumuendeleza kua na choo laini daima ila nikamwambia hilo halihitaji dawa ni yeye mwenyewe kudumu na matunda zaidi baada kuamaliza dozi hii. 

3- Shahidi wa tatu

Huyu ni Shahidi wetu wa tatu kutoka tandika dar es salaam,  kama mnavyoona maelezo yake hata gesi nayo imepungua na anaendelea na dozi. 


PATA SASA DOZI HII KWA GHARAMA NAFUU SANA.   15,000/= TU.
kwa kufanyiwa delivery 5,000/=  popote pale.

Usisubiri tatizo likawa kubwa  wahi sasa. 

Wasiliana nasi  0626 908 654 /0718 958 410

Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

MIGUU KUWAKA MOTO

Miguu kuwaka moto ni nini? Ni hali ya kuhisi miguu kuwa ya moto na inauma, hali hii huweza kuwa ya maumivu madogo au makali na wakati mwingine unaweza ukakosa usingizi kabisa wakati wa usiku kwa sababu ya maumivu. Baadhi ya visababishi vya miguu kuwaka moto huweza kuambatana na moja kuhisi miguu inachoma kama sindano au mwiba na mbili kupata ganzi au vyote viwili. Ingawa uchovu au maambukizi kwenye ngozi huweza kusababisha miguu kuwaka moto kwa mda mfupi na kubadilika mwonekano wake wa kawaida(rangi), kuumia kwa mishipa ya fahamu ya neva huwa ni sababu kuu ya kusababisha miguu kuwaka moto. Kuumia kwa neva huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama kisukari , ulevi wa pombe wa kupindukia, sumu aina Fulani, upungufu wa madini na vitamin (vitamin B) , au maambukizi ya virusi vya ukimwi. Vifuatavyo ni visababishi vya miguu kuwaka moto kwa undani zaidi; Visababishi vya miguu kuwaka moto ni Ulevi wa kupindukia(pombe)-( ugonjwa wa kutumia pombe) Maambukizi ya fangas kwenye miguu Ugonjwa ...