Skip to main content

Posts

ZIJUE DAWA HATARI ZENYE KUATHIRI NGUVU ZA KIUME

Dawa 6 zinazopunguza nguvu za kiume na hutumiwa sana Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara. Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume. Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto. Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa kama ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii. Dawa ya kutuliza maumivu Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo. Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani? Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake. Dawa ya kuzuia wasiwasi (an...
Dawa 6 zinazopunguza nguvu za kiume na hutumiwa sana Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara. Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume.  Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto. Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa kama ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii. Dawa ya kutuliza maumivu Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo. Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani? Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake. Dawa ya kuzuia wasiwasi (a...

SARATANI YA TENZI DUME NI NINI?

SARATANI YA TEZI DUME Tezi dume ni nini?      Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza  majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi. Ipo wapi? Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo  wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga. Sawa na upasuaji inaweza kuondoa ugonjwa iwapo haujasambaa. Mionzi pia hutolewa kama tiba shufaa.     DAWA YA SARATANI Baadhi ya wagonjwa hufaidika na tiba hii, dawa hutolewa kwa muda mfupi na kufuatilia maendeleo ya mgomjwa kwa kufanya PSA,dawa inaweza kuwa moja au mchanganyiko. HOMONI Hutolewa mfullulizo kwa njia ya vidonge au sindano. Ufuatiliaji wa karibu Ni muhimu kufuatilia hali ya tezi isirejee baada ya ugonjwa kutibiwa kwa kufanya kipimo cha PSA mara kwa mara angalau miezi mitatu mara moja. Athari zitokanazo na matibabu mbalimbali yaliyotajwa...

BAWASIRI 'HAEMORRHOIDS' NI NINI?, UNAWEZAJE KUGUNDUA UGONJWA HUU ?

Bawasiri 'haemorrhoids' ni nini?, unawezaje kugundua ugonjwa huu? Bawasiri ni moja ya magonjwa ya kawaida. Kubadilisha tabia ya chakula na mtindo wa maisha ndio sababu kuu za ugonjwa huu. Kulingana na tovuti rasmi ya Maktaba ya Kitaifa ya Tiba, asilimia 50 ya wakazi wa India kwa mfano wanaugua bawasiri wakati fulani maishani mwao, na asilimia 5 kati yao huathirika kabisa. Pata matibabu ya Bawasiri bila upasuaji BBC Tamil iliwasiliana na mtaalamu wa Bawasiri Dk. Vani Vijay ili kujua zaidi kuhusu bawasiri na njia za matibabu yao. Unaweza kupata majibu yake kwa maswali kutoka BBC Tamil. Wakati mishipa ya damu katika eneo la haja kubwa inapopata maumivu, tunaiita thrush. Mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa huuma inapopata shinikizo kubwa. Kuna sababu mbalimbali za uvimbe huu. Mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa huuma kutokana na mgandamizo mkubwa wakati wa kutoa haja kubwa, kuchukua muda mrefu kwenda haja kubwa, na kukosa choo kwa muda mrefu. Vile vile, kutokana na mata...

DHARURA YA HOMA YA NYANI YATANGAZWA.

#HABARI: Shirika la Afya Duniani (WHO), limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox (Homa ya Nyani) katika baadhi ya nchi za Afrika, kuwa dharura ya afya ya umma ambayo inaleta hofu kimataifa. Ugonjwa huo unaoambukiza kwa haraka umeshaua takribani watu 450 tangu ulipuke katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo ugonjwa huo unaelezwa kuenea katika maeneo ya Afrika ya kati na mashariki, huku wanasayansi wakiwa na wasiwasi kuhusu jinsi aina mpya ya ugonjwa huo inavyoenea na kiwango chake cha juu cha vifo. Whatsapp https://chat.whatsapp.com/Kdbqqe1TWCn10djL2rnQBC

AFARIKI DUNIA AKISHIRIKI TENDO LA NDOA AKIWA AMEKULA VIAGRA NA KUPAKA VUMBI LA KONGO

KIJANA AFARIKI AKIWA ANASHIRIKI TENDO LA NDOA _________________________ BURUNDI 🇧🇮 Umuonae pichani Anaitwa Ikoriciza Eric kijana mwenye umri wa miaka 23 amefariki dunia huku akiwa akijamiana ( ku sex) na binti mwenye umri wa miaka 17 (Kitoto cha2OOO)aitwae Kezimana Grace. 🗣️ Inasemakana kua kifo chake kilisababishwa na vidonge ambavyo alitumia kwa lengo la kuongeza nguvu za kiume maarufu Burundi vinavyoitwa ( Viagra 💊)aka paka na Vumbi la Congo ..yani kala kidonge afu kapaka na Vumbi la Congo at the same time. 📺Alisema Bint.. « Sijui chochote Mimi tulivyokua tunashiriki tendo nilimwona mwenzangu analala Fofofo» Grâce Kezimana Amesema `` 🙍‍♀️⛓‍💥Kezimana Grace kwa sasa amewekwa ndani kwa uchunguzi zaidi kuhusu kifo cha mpenzi wake Eric . -Serikali imekataza vijana kutumia vitu vya ziada kuongeza nguvu za kiume laa hasha wale vzr wafanye mazoezi kuepuka madhara km aya. __________________________________________________ Kwa kupata tiba sahihi sahihi kupitia virutubisho asi...

KWANINI ASIKUITE BWANA!!!

ANAKOSAJE KUKUITA BWANAAAA!!! CHITOSAN   NI KIRUTUBISHO MATATA SANA  KWA AFYA KAMILI KWA MWANAMME. KIRUTUBISHO NI MUHIMU SANA KWA KUBORESHA MFUMO WAKO WA UZAZI KWA KILA MWANAMME.   FAIDA ZAKE .   Kukupa uwezo wa tendo.   Huufanya uume kusimama vyema   Inalinda maambukizi sehemu za siri   Huongeza uwingi wa mbegu   Huzifanya mbegu kua imara na nzito Nk... Hii bidhaa inapatikana katika clinic zote za Eternal International. ETERNAL HOSPITAL INATOA HUDUMA ZIFUATAZO:  vipimo vya mwili mzima kwa kupitia kipimo cha kisasa zaidi  kijulikanacho kwa jina la Quantum body analys machine.  Inatoa matibabu kupitia virutubisho asilia pasi na kemikali,  Kwa kupata virutubisho hivyo wasiliana nasi. Unasubiri nini.   Whatssapp Kupata vipimo vya mwili mzima Piga simu +255 626 908 654 Dar es salam Tanzania