Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili
Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.
Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu.
25,000/=
Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba.
Je, unahisi uchovu mara kwa mara?
Kinga ya mwili iko chini?
Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya?
Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili.
FAIDA ZA KUTUMIA MWANI
✔ Huongeza kinga ya mwili
✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid)
✔ Huboresha nguvu za mwili
✔ Hupunguza uchovu
✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula
Hii ni Bidhaa asilia 100%
Imetengenezwa kwa viwango vya afya
Inatumiwa na wateja wengi Tanzania
“Imetolewa na Sulomy Health Care – Kituo cha Tiba Asilia na Lishe”
Unga huu unapatikana kwa ujazo ufuatao:
📦 250g – 10,000/=
📦 500g – 20,000/=
📦1000g - 25,000/=
🌿
📞 0626 908 654
📍 Kitunda – Dar es Salaam
🚚 Delivery nchi nzima
PIA TUNAZO NAFASI ZA UWAKALA MIKOA YOYOTE.
Sulomy Health Care
Kituo cha Tiba Asilia na Lishe
“Afya yako, Kipaumbele chetu”







Kwa wale wanaohitaji uwakala utaratibu pia upo,
ReplyDeleteUkitaka kwa bei za jumla pia unaweza kuwasiliana nasi
0626 908 654 /0718 958 410