Skip to main content

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME


MWANAMME BILA NGUVU ZA KIUME, NI MTIHANI MKUBWA

Moja ya Matatizo yanayoharibu afya ya uzazi wa mwanamme ni ukosefu wa nguvu za kiume,  na kutokana na hilo hupelekea hata kuathirika kisaikolojia kwa mwanamme.

-Mishipa ya damu.
-Mfumo wa neva za fahamu.
-Mfumo wa hormon na vichocheo vya mwili.
Vitu hivyo ni miongoni mwa vitu vinavyoshirikiana kwa pamoja ili uume uweze kufanya kazi ipasavyo.

Mazoezi ya mwili.
Mlo wenye virutubisho kamili 
Ni muhimu sana katika kujenga afya ya nguvu za kiume na afya kiujumla.

SABABU ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
-Magonjwa ya moyo.
-kuziba kwa mishipa ya damu.
-Shinikizo la damu.
-Ugonjwa wa kisukari.
-Unene kupitiliza.
-Matatizo ya ubongo.
-Matumizi ya vileo.
-Kutokupata muda wa kutosha kupumzika.
-Magonjwa ya kiuno na uti wa mgongo.
-Kujichua.
-kutokufanya mazoezi.
-Matumizi ya madawa ya kemikali kutibu nguvu za kiume.
-Mawazo na wasiwasi.
-Matatizo ya kibofu cha mkojo na tezidume.
-Magonjwa ya kensa na vidonda vya tumbo.
-Umri mkubwa. Nk.



DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
- Uume kusimama legelege.
- Uume kusinyaa na kutoweza kusimama.
- Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea na tendo.
- Kuhisi maumivu wakati wa tendo.
- Kucherewa sana au kutokufika kabisa.
- Kuchoka sana baada ya tendo.nk.


Epuka mawazo yasiyoyalazima, fanya maamuzi ya haraka kuepuka fedheha.

Usijaribu kabisa kutibu nguvu za kiume kupitia tiba za kemikali kama viagra nk. Hivyo unashauriwa kupata virutubisho vya afya kwa usalama zaidi wa afya yako.

TIBA ZETU
Tunatibu Matatizo ya nguvu za kiume kwa tiba asilia, ni tiba ambazo zimewafaa wengi tunashukuru mungu kwa hilo.


Hii ni nguvu namba moja ambayo imebadilisha ndoa nyingi kubakia kua na furaha daima.

Inapatikana mbezi karibu na stand ya magufuli, kwa 40,000/=   kwa chupa moja.
Dozi kamili unatakiwa kutumia chupa 2.

Bofya hapa

Vilevile unaweza kutibu changamoto ya nguvu ya kiume kwa kutumia Food supplement ambazo tupo nazo kutoka china.

Virutubisho hivi vinaendana na huduma ya vipimo kwanza ndipo uandikiwe dozi yako.


MREJESHO WA WATEJA

Mteja kutoka Zanzibar  akiagiza dozinya Bawasiri

Amefanya muamala 


Baada muamala tukampelekea mzigo wa bandarini na tukamtumia risiti yake ya kupokea mzigo

Amepokea mzigo wake tayari
Tunasema Alhamdulillah, na tunashukuru kwa kutuamini.


Ameufungua mzigo wake.

Kuweka oda yako bofya maandishi ya hapo chini.








Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...

DAWA YA KUSAFISHA TUMBO, KUONDOA GESI NA KUPATA CHOO LAINI

Unasumbuliwa na Gesi Tumboni, Choo Kigumu au Tumbo Kujaa Mara kwa Mara? Suluhisho la Asili la Kusafisha Tumbo, Kupunguza Gesi na Kufanya Choo Kiwe Laini Ndani ya Siku Chache. Dawa ya asili yenye nguvu ya kupambambana na gesi, choo kigumu, na kusafisha tumbo. Nahitaji dawa ya kusafisha tumbo Dalili Zinazoonyesha Tumbo Lako Linahitaji Kusafishwa: Gesi tumboni mara kwa mara Tumbo kujaa na kuuma Kukosa choo au choo kigumu Kiungulia Harufu mbaya ya tumbo Kujisikia mzito baada ya kula  Kama una dalili hata 2 kati ya hizi, tumbo lako linahitaji kusafishwa. Dawa Asilia ya Kusafisha Tumbo Dawa ya asili iliyoandaliwa kusaidia: Kusafisha uchafu tumboni Kupunguza gesi Kulainisha choo Kuboresha mmeng’enyo wa chakula Salama kwa matumizi ya watu wazima. Faida za Matumizi: ✔ Husafisha tumbo kwa upole ✔ Hupunguza gesi na maumivu ya tumbo ✔ Husaidia kupata choo laini bila maumivu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula ✔ Hupunguza kujaa tumbo baada ya kula JINSI INAVYOFANYA KAZI Dawa hii hufanya kazi kwa kusa...