Skip to main content

MUHANGA MKUU WA PID NI MWANAMKE


PID NI UGONJWA GANI.?

Ugonjwa wa PID Hauwezi Mpata Mwanaume Bali Mwanaume Anaweza kumwambukiza Mwanamke Ugonjwa huu wa PID. Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID "Pelvic inflammatory disease" Ni maambukizi ya bacteria kwenye Shingo ya uzazi, Mirija ya fallopia, Ovari na Tumbo la uzazi (Uterusi). Sababu kuu ya ugonjwa huu wa (PID) ni maambukizi yanayo sambazwa kwa kujamiiana (STIs). Dalili za ugonjwa huu wa (PID) huweza kujumuisha, Maumivu ya nyonga, Maumivu ya tumbo chini ya kitovu, Maumivu wakati wa tendo la ndoa, Homa kali, Na uchafu mzito mweupe na wenye harufu mbaya kutoka ukeni. Utambuzi wa ugonjwa huu hufanywa kulingana na dalili na uchunguzi wa sehemu za siri, Katika uchunguzi wa kitaalamu sampuli za majimaji au usaha huchukuliwa ili kutambua bacteria aliye pelekea maambukizi hayo. Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke (PID) hutibiwa kwa antibiotics, Kumbuka kwamba tiba ya ugonjwa huu hutofautiana kulingana ukali wa maambukizi, Hivyo basi usi kariri dawa, Ikiwa maambukizi nikali itahitajika kupatia tiba ya antibiotics kwa sindano nasio vidonge tena. Kama maambukizi yamepelekea usaha kukusanyika, Uvimbe na makovu kwenye mirija ya uzazi (Fallopian tube) Upasuaji utakuhitajika. Fahamu kwamba watu wengi hupona vizuri kabisa baada ya matibabu sahihi na maambukizi hayapelekei matatizo ya muda mrefu, Ikiwa sasa haujazingatia tiba vizuri maambukizi yakajirudia, Au kutopatiwa tiba kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wa kupata madhara zaidi. NA hata kupelekea mwanamke kuwa mgumba, Kutopata kabisa mtoto na Mvurugiko wa homoni mwilini. Njia muhimu ya kuzuia maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni kuepukana na wapenzi wengi, kutumia kinga wakati wa tendo, Endapo kama umegundulika na maambukizi ya (STIs). Nimuhimu kupatiwa matibabu pamoja na Mwanaume wako.
ZINGATIA AFYA ⚖

Kwa kupata matibabu wasiliana nasi.
+255 626 908 654

Comments

Popular posts from this blog

ZAN SULOMY SEAMOSS - UNGA WA MWANI ZANZIBAR

10,000/= Nunua hii Unga wa Mwani Halisi Kutoka Zanzibar kwa Afya na Kinga ya Mwili 20,000/= Nunua hii Ongeza Nguvu, Kinga ya Mwili na Afya Bora kwa Zan Sulomy Sea Moss, una madini ya asili zaidi ya 92, unakosaje kuweka imara ulinzi wa mwili wako.  Mwani ni zao la baharini, huota kwenye myamba ya bahari, na juu ya bahari, mwani una madini zaidi ya 90 muhimu kwa afya ya mwanadamu. 25,000/= Nunua hii Unga wa mwani unapatikana kwetu kwa ujazo tofauti, unga huu unatoka zanzibar upande wa pemba. Agiza sasa Je, unahisi uchovu mara kwa mara? Kinga ya mwili iko chini? Unataka kirutubisho asilia salama cha kuongeza nguvu na afya? Suluhisho ni Zan Sulomy Sea Moss – Mwani halisi kutoka Zanzibar wenye madini zaidi ya 90 muhimu kwa mwili. Weka oda yako sasa FAIDA ZA KUTUMIA MWANI ✔ Huongeza kinga ya mwili ✔ Husaidia afya ya tezi (thyroid) ✔ Huboresha nguvu za mwili ✔ Hupunguza uchovu ✔ Huboresha mmeng’enyo wa chakula Hii ni Bidhaa asilia 100% Imetengenezwa kwa viwango vya afya Inatumiwa na wateja...

KARIBU MATIBABU YA BAWASIRI.

Soma hadi mwisho kama unahitaji kupona bawasiri. BAWASIRI INAKUSUMBUA? Je, unapata maumivu wakati wa kujisaidia, kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa? Bawasiri ni tatizo linaloweza kuathiri maisha ya kila siku na kusababisha usumbufu mkubwa ikiwa halitapatiwa ufumbuzi mapema. DALILI ZA BAWASIRI  ✔ Maumivu wakati wa kujisaidia ✔ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa  ✔ Kuwashwa au kuungua sehemu ya haja kubwa  ✔ Uvimbe au vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa  ✔ Kukaa kwa muda mrefu kuwa na maumivu MADHARA YA BAWASIRI   ❌ Maumivu makali ya mara kwa mara  ❌ Kupoteza damu na kuishiwa nguvu  ❌ Kushindwa kukaa kwa muda mrefu  ❌ Kupungua kwa ufanisi kazini na kwenye shughuli za kila siku  ❌ Kuathiri hali ya kujiamini na maisha kwa ujumla Usipuuzie dalili! Bawasiri unaweza kuanza taratibu lakini ukasababisha maumivu makali, kutokwa na damu wakati wa haja kubwa, kuwasha na uvimbe sehemu ya haja kubwa. ❗ Baadhi ya sababu za bawasiri ni:  ✔️ Kufunga choo kwa muda mrefu (constipation) ...

SULOMY PELVICLINE POWDER (DAWA YA PID)

SULOMY PELVICLINE POWDER Ondoa Maumivu ya Tumbo Chini na Tatizo la PID kwa Njia ya Asili WENGI WAPO HATARINI KUPATA UGUMBA PASI NA KUJIJUA PID: ni ugonjwa hatari uliosababishwa na mashambulizi ya bakteria kwenye njia za uzazi za mwanamke.  Ugonjwa huu una madhara makubwa iwapo kama haujatibiwa mapema.  Je, unasumbuliwa na: - Maumivu ya tumbo chini mara kwa mara? - Uchafu usio wa kawaida ukeni? - Hedhi kuvurugika? - Harufu mbaya au maumivu wakati wa tendo? - Kuambiwa una PID lakini tatizo haliponi kabisa? Usijali tena… Sulomy PelviCline Powder imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba maalum kusaidia kusafisha na kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke. 40,000/= Sulomy PelviCline Powder ni nini? Ni unga wa asili (100% Herbal) uliotengenezwa kusaidia: ✔ Kupunguza maumivu ya tumbo chini ✔ Kupunguza uchafu ukeni ✔ Kusaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi ✔ Kuimarisha afya ya kizazi ✔ Kuongeza kinga ya mwili Kwa Nini Uchague Sulomy? ✅ Imetengenezwa kwa mimea asilia na salama ✅ Haina kemikali ...